Home Uncategorized TFF: MDHAMINI MAMBO SAFI, KINACHOSUBIRIWA NI KUSAINI TU MKATABA

TFF: MDHAMINI MAMBO SAFI, KINACHOSUBIRIWA NI KUSAINI TU MKATABA


WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema mdhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2019/20 ameshapatikana na kinachosubiriwa ni kusainiwa kwa mkataba.

Kidao ametoa taarifa hiyo wakati akijibu maswali ya wadau mbalimbali wa soka kupitia ukurasa rasmi wa twitter wa shirikisho hilo, utaratibu alioamua kuufanya mara moja kila wiki.

SOMA NA HII  RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO