Home Habari za michezo HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS MECHI DHIDI YA UGANDA

HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS MECHI DHIDI YA UGANDA

HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS MECHI DHIDI YA UGANDA

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” kinashuka dimbani katika Uwanja wa Suez Canal katika mji wa Ismailia
kuwakabili Timu ya Taifa ya Uganda mchezo wa kuwania kufuzu AFCON2023.

Taifa Stars inahitaji alama tatu kwa udi na uvumba katika mchezo huo ili kufufua matumaini ya kusonga mbele

Hiki hapa Kikosi cha Stars kinachoanza mchezo wa leo;

SOMA NA HII  KISA MASHABIKI SIMBA JANA KUMPA 'WAZIMU'...MORRISON KAAMUA KUMTUNUKU MWANAE JINA JIPYA...