Home Habari za michezo JOB: KWA SIMBA HII…MWISHO WAO NI KWA HOROYA…HAWOTOBOI MAKUNDI HAWA…

JOB: KWA SIMBA HII…MWISHO WAO NI KWA HOROYA…HAWOTOBOI MAKUNDI HAWA…

Habari za Simba

Wakati maneno yakiwa ni mengi kuhusiana na kiwango cha Simba SC katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Mchambuzi wa michezo kutoka kipindi cha Sports Arena ya Wasafi FM George Job amekwenda mbali na kutoa hitimisho la kiwango cha Simba kama kitaendelea kwa namna ilivyo sasa.

Simba SC wanajiandaa na mchezo dhidi ya Horoya kutoka Guinea Machi 18 katika Uwanja wa Mkapa.

Sasa kuelekea mchezo huo Job anasema;

“Horoya akija kwa Mkapa na Simba akacheza kama alivyocheza na Vipers basi it’s Over kwa Simba.”

Simba imeshinda michezo miwili kati ya minne iliyokwishacheza katika hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUTOLEWA AFCON....STARS WALAMBA MABILIONI HAYA KUTOKA CAF...