Home Michezo KOCHA WA TAIFA STARS…AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA

KOCHA WA TAIFA STARS…AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA

KOCHA WA TAIFA STARS...AWATAFUTA KAPOMBE NA TSHABALALA

KOCHA mpya wa timu ya taifa, Mualgeria Adel Amrouche akizungumza na mabeki wa Simba SC, Shomari Kapombe (katikati) na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (kushoto) baada ya mchezo baina ya klabu yao na Horoya ya Guinea Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Amrouche amezua mijadala mingi baada ya kutowajumuisha wawili hao kwenye kikosi chake kwa ajili ya mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda wiki ijayo.

SOMA NA HII  HII HAPA RATIBA YA KOMBE LA SHIRIKISHO