Home Michezo MCHEZAJI SIMBA AKABIDHIWA TUZO… MWANASOKA BORA WA MWAKA…

MCHEZAJI SIMBA AKABIDHIWA TUZO… MWANASOKA BORA WA MWAKA…

MCHEZAJI SIMBA AKABIDHIWA TUZO... MWANASOKA BORA WA MWAKA...

KIPA wa Simba SC, Aishi Salum Manula akiwa ameinua tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kufuatia ushindi wa 7-0 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea.

SOMA NA HII  AHMED ALLY AWACHANA CHAMA,MANULA NA KAPOMBE...PUNGUZENI MAKOSA,TUMIENI NAFASI...AMPIGIA SALUTI KIPA VIPERS