Home Habari za michezo KOCHA YANGA “MNATAKA KUMUONA MORISSON?…MTAMUONA ATAKAPOFUNGA

KOCHA YANGA “MNATAKA KUMUONA MORISSON?…MTAMUONA ATAKAPOFUNGA

Tetesi za Usajili Bongo

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema katika mchezo dhidi ya TP Mazembe atamtumia winga wake Bernard Morisson ambae amekuwa nje ya Uwanja kwa kipindi kirefu.

Akizungumza Kocha Nabi amesema;

“Mwanzo Morrison sikumtumia kwa kuwa alikuwa na programu maalum ya kujiweka sawa, pia kulikuwa na watu wameingia kwenye mfumo na ukizingatia tulikuwa tunatafuta kufuzu Robo fainali, ila kwa sasa anaweza kuanza kucheza na mtamuona.”

Yanga wana mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe April 2.

SOMA NA HII  HII YANGA YA GSM NI NOMAA..YATUMIA 50MIL KUIPORA SIMBA STRAIKA...APEWA MKATABA 'KUFRU'...