Home Habari za michezo KUHUSU SAKATA LA FEI TOTO…FATUMA KARUME AIBUKA NA HILI…ATAJA UTUMWA…

KUHUSU SAKATA LA FEI TOTO…FATUMA KARUME AIBUKA NA HILI…ATAJA UTUMWA…

Habari za Yanga

Maneno ya wakili wa Feisal Salum (Fei Toto), Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Hivi karibuni alisema kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linamlazimisha mchezaji huyo kufanya kazi na Yanga wakati ni kinyume na sheria za FIFA.Habari za Yanga

Mwanasheria huyo amesema TFF ilipaswa kujiuliza ikiwa mchezaji huyo alivunja mkataba kwa njia sahihi au la, na kama hakutumia njia sahihi alipaswa apigwe faini na si kulazimishwa kuitumikia klabu hiyo.

SOMA NA HII  KUHUSU ISHU YA NYONI KUTEMWA SIMBA....MBRAZILI KAMTAZAMA WEE...KISHA AKAGUNA NA KUSEMA HILI..

1 COMMENT

  1. TFF Na wapenda sana ila pamoja na hilo sioni hatua mnazochukuwa kuhusu Fei Toto…Ninachokiona ni ONYO Kali kwa wachezaji wa ndani kudai maslahi yao pale wanapohisi mikataba yao iboreshwe kimaslahi…Kweli Mmeamua kuwakata kilimilimi kwa njia HIYO…!!!…