Home Uncategorized KOCHA MDOGO AMPA KICHAPO KAKA YAKE NA KUTWAA KOMBE LA AFCON

KOCHA MDOGO AMPA KICHAPO KAKA YAKE NA KUTWAA KOMBE LA AFCON


ALIOU Cisse Kocha Mkuu wa Senegal jana aliadhibiwa na mdogo wake waliyepishana siku moja tu kuletwa duniani.

Hivvyo kocha mdogo amempa kichapo kaka yeka kisha timu yake ikatwaa kombe la Afcon.

Senegal ambayo ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Algeria kwenye mchezo wa fainali uliochezwa uwanja wa Misri.

Djmel Belmadi kocha wa Algeria ni mdogo kwa kocha wa Senegal kwa kupishana siku moja na amemfunga bao moja tu.

Belmad ameletwa duniani Machi 25,1975 na Cisse wa Senegal aliletwa duniani Machi 24, wote wana miaka 43.

SOMA NA HII  AFL KUTIMUA VUMBI MWEZI HUU WABABE HAWA KUKUTANA