Home Uncategorized BUNJU KUMENOGA, UWANJA WA SIMBA UMEFIKIA HATUA HII

BUNJU KUMENOGA, UWANJA WA SIMBA UMEFIKIA HATUA HII


MAMBO yanazidi kuwa moto ndani ya Simba ambapo kwa sasa kazi ya uboreshaji wa uwanja wa Bunju inazidi kwenda kwa kasi.

Huu hapa ni muonekano wa uwanja wa Bunju ambao utatumika na Simba kwa ajili ya mazoezi.

 Kwa mujibu wa Ofisa Mtendaji wa Simba Crescentius Magori amesema kuwa uwanja huo utakamilika mapema kabla ya mwezi Oktoba.

SOMA NA HII  TAZAMA MAUFUNDI YA MASHINE MPYA ILIYOTUA YANGA HAPA - VIDEO