Home Ligi Kuu MTIBWA SUGAR KUSITISHA MATUMIZI YA JEZI…WAMUENZI BEKI WAO…ALIYEFARIKI MARCH 5

MTIBWA SUGAR KUSITISHA MATUMIZI YA JEZI…WAMUENZI BEKI WAO…ALIYEFARIKI MARCH 5

MTIBWA SUGAR YAMUENZI BEKI WAO...JEZI YAKE KUSITISHWA MATUMIZI...MISIMU 4 JEZI HAITOTUMIKA Iddy Mobby Mfaume

Mtibwa Sugar wamesitisha matumizi ya jezi Namba 4 kwa misimu minne ili kumuenzi Beki wao Iddy Mobby Mfaume ambaye alikuwa anatumia namba hiyo.

Iddy Mobby alifariki Dunia Machi 5, Katika Hospital ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma.

SOMA NA HII  WAKATI CHAMA AKIITINGISHA KIBERITI SIMBA...MO DEWJI ALIPUA JAMBO HUKO....