Home Michezo RAISI WA SIMBA MO DEWJI AFANYA KUFURU HASWAAA…MECHI YA TAIFA STARS VS...

RAISI WA SIMBA MO DEWJI AFANYA KUFURU HASWAAA…MECHI YA TAIFA STARS VS UGANDA

Habari za Simba SC

Rais wa heshima, Mohammed Dewji amenunua tiketi 5,000 kwa ajili mashabiki katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON kati ya
Tanzania na Uganda utakaopigwa kesho katika Uwanja wa Benjamini Mkapa majira ya saa 2:00 usiku.

Wengine ni mfadhali wetu wa zamani, Azim Dewji amenunua tiketi 1,000, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah na Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu kwa pamoja wamenunuavg

SOMA NA HII  BAADA YA BUMBULI KUONYESHWA MLANGO WA KUTOKEA YANGA....KATI YA HAWA WANNE MMOJA WAO KUMRITHI...