Home Habari za Usajili Yanga YANGA IMEUPIGA MWINGI…IMEMSAJILI FUNDI MALI….WAMALIZANA NAYE HOSPITALI

YANGA IMEUPIGA MWINGI…IMEMSAJILI FUNDI MALI….WAMALIZANA NAYE HOSPITALI

Tetesi za Usajili Yanga SC

Klabu ya Yanga inaripotiwa kuwa imeshafunga hesabu za kumsajili fundi wa Singida Big Stars, Bruno Gomez kama mambo yataenda kama yalivyopangwa, ataonekana katika jezi za rangi ya kijani, njano au nyeusi katika msimu ujao.

Habari za uhakika kutoka ndani ya Yanga ambazo ni kwamba vigogo wa Yanga tayari wameshamalizana na Gomez wiki mbili zilizopita alipokuja Dar es Salaam kupatiwa matibabu.

SOMA NA HII  MAYELE "NILIKUWA NAWATAMANI SANA RIVERS...WALITUTOA MAPEMA WAKAONGEA SANA