Home CAF YANGA TIMU YA KWANZA KULETA KOMBE LA CAF…”WANANCHI MSIHOFU TUNABEBA…HAKUNA WA KUTUZUIA

YANGA TIMU YA KWANZA KULETA KOMBE LA CAF…”WANANCHI MSIHOFU TUNABEBA…HAKUNA WA KUTUZUIA

Habari za Yanga

“Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali, baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili””

Wananchi msiwe na hofu Inshallah sisi mwaka huu tutalibeba” Hersi

Rais wa Yanga SC akizungumza na Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Yanga Manzese

SOMA NA HII  SIMBA KUINGIZA MIL 2.2 KILA SEKUNDE 60...MO DEWJI AFANYA MAAJABU YAKE...JASHO NA DAMU KWA MKAPA