Home Habari za michezo ZIZO NA SHALULILE WANYONGE TU…CHAMA “MWAMBA WA LUSAKA” BABA LAO…CAF IMETHIBITISHA

ZIZO NA SHALULILE WANYONGE TU…CHAMA “MWAMBA WA LUSAKA” BABA LAO…CAF IMETHIBITISHA

ZIZO NA SHALULILE WANYONGE TU...CHAMA

Kiungo wa Simba SC, Clatous Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora Wiki ya raundi ya nne ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwashinda Peter Shalulile wa Mamelodi

Sundowns, Ahmed Zizo kutoka Zamalek na Walid Sabbar wa Raja Casablanca.

Chama ameshinda tuzo hizo baada ya kuiongoza Simba SC katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda huku akifunga bao pekee la Wekundu hao wa Msimbazi.

SOMA NA HII  DE BRYUNE: UBELGIJI INAWAZEE WENGI...HATUWEZI KUSHINDA KOMBE LA DUNIA...