Home Habari za michezo KIBU DENIS AVUNJA REKODI HII YA KICHUYA…KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA

KIBU DENIS AVUNJA REKODI HII YA KICHUYA…KATIKA MECHI YA SIMBA NA YANGA

Habari za Simba SC

Wakati Simba SC wakiiadhibu Yanga katika Uwanja wa Mkapa. Jumapili iliyopita mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis aliweka rekodi kadhaa katika mchezo huo wa Watani.

Kibu Denis ndiye mchezaji wa kwanza mzawa kuifungia bao Simba Sports Club katika mchezo wa kariakoo derby katika ligi tangu Shiza Kichuya October 28 mwaka 2017.

Amefikisha mabao 10 Katika Nbc Premier League tangu alipojiunga na Simba Sports Club.

Mechi 43
Dakika 2351
Mabao 10
Pasi za mabao 6

Takwimu zake katika Nbc Premier League msimu huu hadi sasa.

Mechi 21
Mechi alizoanza 7
Dakika alizocheza 785

Mabao 2
Pasi za mabao 2

SOMA NA HII  UPDATE : INONGA HAJAVUNJIKA HALI YAKE IKO HIVI