Home Habari za michezo KWA MARA YA KWANZA…NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS

KWA MARA YA KWANZA…NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS

KWA MARA YA KWANZA...NAHODHA YANGA AFUNGUKA SIRI HII YA KUWACHAPA RIVERS

Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amesema timu yao ilibadili mfumo ndiyo maana wakafanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United ya Nigeria.

Akizungumza mwamnyeto amesema;
“Tuliwaweza wapinzani wetu kwa kubadili mfumo ambao tulianza nao hivyo tulipata matokeo kwa sababu tulibadilika hadi namna ya ushambuliaji.

“Nimefurahi kucheza kwa mara ya kwanza robo fainali na kutoa pasi mbili na kufanya timu yangu kupata matokeo ugenini na mpango wetu kama timu ni kufika fainali, wakati napanda, niliwaona hata wenzangu wamechoka wanahitaji msaada wangu, hii ndiyo maana ya kucheza kitimu,” alisema nahodha Mwamnyeto.

SOMA NA HII  ULE MGOLI WA CHAMA WACHAGULIWA...GOLI BORA LIGI YA MABINGWA