Home Habari za michezo MFAHAMU SHABIKI HUYU KIPOFU WA SOKA…HAJAWAHI KUKOSA UWANJANI

MFAHAMU SHABIKI HUYU KIPOFU WA SOKA…HAJAWAHI KUKOSA UWANJANI

MFAHAMU SHABIKI HUYU KIPOFU WA SOKA...HAJAWAHI KUKOSA UWANJANI

Hii ni sanamu ya aliyekuwa shabiki Mkubwa wa Valencia Vicente Navarro Aparicio ambaye alifariki dunia mwaka 2017.

Valencia waliguswa hadi kujenga sanamu yake ndani ya uwanja wao wa nyumbani wa Mestalla kutokana na rekodi yake ya kutokosa mchezo wowote wa nyumbani licha ya kuwa kipofu lakini hakuacha kuhudhuria mechi za timu hiyo.

Klabu hiyo ilijenga sanamu yake 2019 katika kiti chake alichokuwa anapenda kukaa katika maisha yake ya ushabiki

SOMA NA HII  KISA SARE MICHEZO MIWILI ILIYOPITA...NABI AFURA KWA ASIRA YANGA...ATOA MKWARA HUU KWA WACHEZAJI...