Home Habari za michezo VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA…UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI

VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA…UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI

VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA...UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI

Vinicius Jr alifanyiwa ubaguzi wa rangi tena nchini Spain wakati wa mtanange wa ligi kuu kati ya Girona dhidi ya Real Madrid mashabiki wa Girona walikua wakiimba neno “EL MONO” wakimaanisha
“Nyani” kwa Mbrazil huyo wakati alipokuwa anapewa kadi baada kucheza faulo.

Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya ubaguzi dhidi ya Raia huyo wa Brazil katika Ligi ya Hispania.

Katika mchezo huo Real Madrid walikubali kichapo cha magoli 2-0.

SOMA NA HII  SHINDA MAOKOTO NA FISHTASTIC KASINO YA UVUVI BAHARINI...