Home Habari za michezo MMH HUYU HAALAND NI JINI AU MTU?….MANCHESTER CITY VS ARSENAL

MMH HUYU HAALAND NI JINI AU MTU?….MANCHESTER CITY VS ARSENAL

MMH HUYU HAALAND NI JINI AU MTU?....MANCHESTER CITY VS ARSENAL

Dakika 90 za mchezo wa ligi kuu nchini England zimemalizika kwa Man City kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Arsenal na hivyo kuondoka na alama tatu muhimu.

Full Time: Man City 4-1 Arsenal
De Bruyne 7′,54′
J. Stones 45+2
Holding 86′
Haaland 90+5′

Kwa matokeo hayo, Arsenal bado yupo kileleniwa ligi akiwa na alama zake 75 na michezo 33 aliyocheza mpaka sasa wakati Man City akiwa nafasi ya pili na alama 73 huku akiwa amecheza michezo 31.

Hivyo endapo City atashinda michezo yake miwili aliyo nayo mkononi, atakuwa atanda kileleni mwa ligi na kumpiju Arsenal kwa alama 4.

MICHEZO MINGINE
Nottm Forest 3-1 Brighton
Chelsea 0-2 Brentford
West Ham 1-2 Liverpool.

SOMA NA HII  KOCHA WA YANGA AHUSISHWA NA NAMUNGO, ISHU IKO HIVI