Home Habari za michezo YANGA VS RIVERS UNITED KUKIWASHA LEO…HUJUMA ZAWASHTUA WANANCHI

YANGA VS RIVERS UNITED KUKIWASHA LEO…HUJUMA ZAWASHTUA WANANCHI

YANGA VS RIVERS UNITED KUKIWASHA LEO...HUJUMA ZAWASHTUA WANANCHI

Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans

Baada ya kupokea kichapo kikali toka kwa mahasimu wao simba Sports Club

Leo mida ya saa 10:00 JIONI wananchi wenye nchi yao YOUNG AFRICANS watashuka pale dimba la ESTADIO DE GODSWILL AKPABIO nchini NIGERIA

Kutafuta alama tatu za ushindi mnono ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia nusu fainal kwa mara ya kwanza katika fainali ya michuano ya shirikisho barani Africa

Ikumbukwe kuwa hawa walishakutana katika michezo miwili huko

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA KESHO..NYOTA 10 WA YANGA KUKOSEKANIKA...MAKAMBO AKIMBILIA KWAO 'KUJIBUSTI'...