Home Habari za Yanga LANGONI KWA RIVERS KUNAWAKA MOTO…YANGA KUWENI MAKINI MTAUMIA

LANGONI KWA RIVERS KUNAWAKA MOTO…YANGA KUWENI MAKINI MTAUMIA

RIVERS LANGONI KWAO KUNAWAKA MOTO...YANGA KUWENI MAKINI MTAUMIA

Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao na Asec Mimosas.

Na jana nilicheki replay ya game yao na Wydad. Rivers hawana mpira wa kutisha saana kivile ila langoni kwao wanakuwa kama wameweka kitu fulani kama mpirani ni uchawi basi sinabudi kusema Rivers wanajua vizuri kuroga langoni kwao.

Mechi ya rivers na Asec Mimosas, walipata nafasi za wazi karibia tano lakini hakuna hata moja ambayo ilikwenda Langoni zaidi ya kutoka nje. Pia Motema Pembe nao hivo hivo.

Mwisho kabisa nisiwe shabiki saana

SOMA NA HII  RIVERS UNITED WAVAMIWA DAR...WAPULIZIWA SUMU...WAIBIWA MAMILIONI YA PESA