Home Gadgets WAKATI UKITAZAMA MECHI KAMA UKO UWANJANI KUPITIA KIOO CHA Infinix NOTE 30….JISHINDIE...

WAKATI UKITAZAMA MECHI KAMA UKO UWANJANI KUPITIA KIOO CHA Infinix NOTE 30….JISHINDIE MIL 1 CHAP CHAP…

Infinix NOTE 30

Hii kwa upande mwengine inaweza ikakupendeza ukiwa kama mdau wa soko na usingependa kupitwa na vitu vizuri, Kama haukuwa unafahamu simu janja inayotamba kwa kukaa na chaji kwa muda mrefu zaidi ambayo ilizinduliwa june 2 Infinix NOTE 30 SERIES kufanyiwa promosheni kesho.

Zawadi nyingi zitaenda kwa wateja wa simu hizo kesho ikiwemo kitita cha sh. 1,000,000 lakini pia kuuzwa kwa bei ya offa fikiria unatumia simu kali unaangalia mpira kwenye Screen ya AMOLED na hauwazi kabisa kuhusu chaji

Gusa hapa kushiriki na ushinde sasa

Promosheni hii ya #GusanishaIjae itaambatana na shamra shamra mbalimbali ikiwemo burudani ya kudance, kucheza na vitairi vya miguu, mashindano ya kunywa soda lakini pia itahudhuriwa na Msanii maarufu wa kudance aliyejishindia Tuzo ya Dancer bora wa ngoma za kizazi kipya kwa Mwaka 2022-2023 almaarufu @chino_kidd7.

Ikumbukwe series hii ya Infinix NOTE 30 ilizinduliwa rasmi June 2 na tangu kuzinduliwa kwake simu hii mahiri hasa kwenye kipengele cha fast chaji ikiwa na WATT68 na wireless fast chaji ya WATT15 imeweka picha nzuri kwa kampuni hii ya simu na kuendelea kushikilia taji la kampuni nambari moja duniani yenye kuzalisha simu zenye kudumu na chaji kwa muda mrefu na kuokoa muda wakati wa uchajishaji.

Sifa nyengine za simu hii ambayo itapatikana kwa punguzo kwa siku ya kesho ni 108MP Master Triple camera, 256GB+16GB RAM. Kesho si ya kukaa nyumbani zawadi ni nyingi mno Airflier, Microwave Blenda hamna kuondoka mikono mitupu.

Piga 0745170222 kwa huduma ya haraka.

SOMA NA HII  ISHU YA BACCA NA YANGA YAZIDI KUVUMA....APEWA MBINU ZA KUNG'ANG'ANIA JAMBO LAKE...