Home Habari za michezo MKEKA WA TSH 750/= WAMPA ‘MWAMBA’ TV YA MERIDIANBET ….

MKEKA WA TSH 750/= WAMPA ‘MWAMBA’ TV YA MERIDIANBET ….

Meridianbet

Mwezi uliopita niliandika habari ya shindano jipya pale jumba la mabingwa Meridianbet, leo ninayo furaha kuwatambulisha kwenu tena mshindi wa shindano hilo la kasino ya mtandaoni anayetoka makao makuu ya nchi Dodoma.

 Mshindi huyo anajulikana kwa jina la Rogers kutoka Dodoma alifika makao makuu ya Meridianbet Tanzania kuchukua zawadi yake ya TV inch 55, mara baada ya kukabidhiwa alitoa neno kwa familia ya mabingwa wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni Meridianbet haswa wachezaji wa sloti na kasino ya mtandaoni.

“Nimekua nikicheza sana kasino ya mtandaoni na kufanikiwa kupiga mpunga mkubwa tu, meridianbet ni sehemu ya maisha yangu kwakuwa kupitia kasino ya mtandaoni nimejikuta nafanya mambo mengi ya maana” “

Leo nimeshinda Smart TV nina hakika familia yangu itafurahia kazi yangu hii, na sasa nitaweza kucheza kasino ya mtandaoni kupitia TV hii kwakuwa ina huo uwezo, nawashukuru sana Meridianbet natoa wito kwa watu wengine kuichagua Meridianbet na kucheza Zaidi michezo ya kasino ya mtandaoni ni rahisi huenda na wao wakawa washindi kama mimi” –Rogers

Mchezo huu wa 3 Dancing Monkey unapatikana kwenye kasino ya mtandaoni kwa kubonyeza hapa, ambapo utaenda kucheza moja kwa moja ni rahisi kucheza na kushinda dau lake la kucheza ni Tsh 750 tu huku ukikupa mizunguko ya bure kila unapocheza.

 NB: Je wewe ni mwanafamilia wa meridianbet kama bado jiunge Meridianbet upate mizunguko kibao ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile poker, aviator na roulette, hii sio ya kukosa jiunge hapa bure.

SOMA NA HII  KELVIN YONDANI AMPIGIA SALUTI MSHAMBULIAJI YANGA...AMEZUNGUMZA HAYA