Home Habari za michezo SHINDA KIWEPESI ZAIDI NA SLOT YA 777 KUPITIA CASINO YA MERIDIANBET

SHINDA KIWEPESI ZAIDI NA SLOT YA 777 KUPITIA CASINO YA MERIDIANBET

Meridianbet

Bila shaka habari hizi ukizisikia kwa mtu unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba, moja ya sloti rahisi kucheza na kupiga hela ni Sticky 777 kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Mchezo huu umetengenezwa kwa mtindo wa kizamani ukiwa na ala nzuri za muziki kuhakikisha kwamba mchezaji anapata buradani wakati akitengeneza mtonyo.

Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ni Sticky 777 ambayo ina malipo makubwa kwenye mchezo wa kawaida wa kasino ya mtandaoni. Ukizipata alama za 3,4 &5 utapata Gurudumu la Bahati. Kasino ya mtandaoni inakupa faida mara 1000 ya dau lako.

Sloti ya Sticky 777 pia ina alama nyingine kama vile almasi, kengele na matunda kama vile tikiti maji, nanasi, limao na mengine mengi. Unaweza kupata ushindi mkubwa kama alama 3 au zaidi ya hizi zitakusanywa. Katika mistari 10 ya malipo, unaweza kushinda almasi na kengele zenye thamani kubwa lakini pia, unaweza kushinda miti ya matunda maarufu.

Zungusha Gurudumu la Bahati ya kasino ya mtandaoni kwenye Sloti ya Sticky 777.

Sloti ya Sticky 777 ina uwezo wa kurudia kuzungusha gurudumu, sifa hii inatokea pale ambapo wilds mbili zitatokea kwenye reels. Baadhi ya bonasi za gurudumu la bahati zinapatikana katika mfumu huu; alama tatu zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya kwanza ambapo utaweza kupata faida mara 50 zaidi ya dau lako.

Alama 4 zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya 2 ambapo utaweza kupata faida mara 125 ya dau lako. Alama 5 zitakupeleka kwenye hatua ya 3 ambapo utaweza kupata faida mara 1000 zaidi ya dau lako.

Mchezaji ataweza kusogea kwenye hatua inayofuata endapo gudurumu litasimama likiwa na mishale katika hatua mojawapo kati ya hatua mbili. Kusonga mbele hakutoi zawadi ya pesa lakini ni mwanzo wa kusogea kwenye hatua zilizo na zawadi kubwa zaidi.

Kwa ujumla Sloti ya Sticky 777 kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali. Unaweza kuchagua ubashiri/Gamble ili kuongeza ushindi wako mara mbili zaidi.

NB: Kubwa kuliko ni kwamba ukijisajili Meridianbet unazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili hapa.

SOMA NA HII  AFISA HABARI SIMBA AFUNGUKA ISHU YA YANGA KUMTAKA AENDE KWAO...AGUSI ISHU YA KUFUKUA MAFAILI...