Habari za michezo

BREAKING NEWS : SIMBA WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAKE HUYU MPYA MUDA HUU

Staff Desk July 9, 2023 1:57 pm

KLABU ya imemtambulisha beki wa katí, Che Fondoh Malone Junior kuwa mchezaji wake mpya kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Coton Sport ya kwao, Cameroon.

Che Fondoh Malone Junior (24), anakuwa mchezaji mpya wa tatu tu Simba SC baada ya winga wa kushoto, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya kwao, Ivory Coast na mshambuliaji Mcameroon, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Malone anatua Msimbazi baada ya kuisaidia Coton kilichotwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Cameroon huku yeye mwenyewe akishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023.

MSUVA AFUNGUKA MASHARTI YAKE HAYA KAMA SIMBA, YANGA ZINAMTAKA FEI TOTO AFUNGUKA KITU ATAKACHOIFANYIA AZAM, AWAAMBIA HAYA WACHEZAJI WENZAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply