Home Habari za michezo HUYU HAPA MRITHI WA MAYELE, ATAMBULISHWA USIKU MNENE

HUYU HAPA MRITHI WA MAYELE, ATAMBULISHWA USIKU MNENE

hafiz konkani

Klabu ya Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji, Hafiz Konkoni (23) Bechem United ya Ghana kwa kandarasi ya miaka miwili.

Konkoni ambaye amesajiliwa kuziba pengo la Mkongomani Fiston Mayele anayetajwa kujiunga na Pyramid ya Misri baada ya msimu uliopita kumaliza na mafanikio ya kuwa mfungaji bora Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika.

Mrithi huyo wa Mayele msimu uliopita katika ligi ya Ghana alifanikiwa kufunga mabao 15 kwenye mechi 26 na kutoa assist 3 akimaliza nafasi ya pili.

Kabla ya Konkoni kusajiliwa na Yanga alikuwa akihusishwa klabu ya Al Hilal ya Sudan.

SOMA NA HII  TAKWIMU ZA MECHI...YANGA SC VS REAL BAMAKO...SIMBA SC VS VIPERS FC