Home Habari za michezo KAMA HUJAWAHI KUWEKA MKEKA WAKO KWENYE TENESI….HII NI FURSA YAKO…PESA IKO HUKU...

KAMA HUJAWAHI KUWEKA MKEKA WAKO KWENYE TENESI….HII NI FURSA YAKO…PESA IKO HUKU AISEE..

Meridianbet

Yale mashindano makubwa na maarufu ya mchezo pendwa wa Tenisi yanayojulikana kama Wimbledon hatimaye yameanza kutimua vumbi kuanzia Julai 4 na yatafikia ukingoni Julai 16 mwaka huu. Meridianbet matajiri wa odds kubwa wametoa ofa kubwa kwa watakaobeti wiki hii.

 Ofa hii ipo katika mtindo wa bonasi ambapo washindi 50 wenye tiketi nyingi zenye mechi za mashindano ya Wimbledon watapatiwa bonasi hizo moja kwa moja kwenye akaunti zao za Meridianbet.

Meridianbet ni moja ya kampuni bora kwenye michezo ya kubahatisha ambayo kila siku imekuwa ikianzisha promosheni kabambe kwaajili ya wateja wake, na mwezi huu wa Julai wanakupatia mteja wao odds kubwa, michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni. Cheza Kasino ya mtandaoni hapa, na tengeneza tiketi yako ya ushindi yenye odds kubwa ili uwe moja ya washindi.

 Vigezo vya Kushiriki Meridianbet

 Weka pesa kwenye akaunti yako dau la chini Tsh 25,000/=, kisha andaa tiketi ambayo itakuwa na mechi moja kutoka kwenye mashindano ya Wimbledon na ujipatie nafasi ya kushinda bonasi.

Mpaka kufika mwishoni mwa michuano, wachezaji wenye tiketi nyingi za Wimbledon watajishindia zawadi zifuatazo:

Nafasi ya 1: Bonasi ya TZS 250,000
Nafasi ya 2: Bonasi ya TZS 125,000
Nafasi ya 3: Bonasi ya TZS 75,000
Nafasi ya 4: Bonasi ya TZS 50,000
Nafasi ya 5 mpaka 19: Bonasi ya TZS 25,000 kila mmoja
Nafasi ya 20 mpaka 49: Bonasi ya TZS 12,000 kila mmoja

Vilevile ikiwa sio mpenzi wa kubashiri soka na michezo mingine, bado una nafasi ya kupiga hela kama tu utacheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni, kupitia kwenye simu yako ama kwa kutembelea maduka ya Meridianbet lililopo karibu yako.

NB: Kila unapojisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA SIMBA NA YANGA...HAWA HAPA MAREFA WA MCHEZO HUO