Home Habari za michezo MWANASHERIA WA YANGA ALAMBA DILI FIFA,… YANGA WATIA NENO

MWANASHERIA WA YANGA ALAMBA DILI FIFA,… YANGA WATIA NENO

Mkurugenzi wa Sheria wa Young Africans SC, Wakili Simon Patrick amechaguliwa na Baraza Kuu la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa kwenye jopo la Wanasheria watakaolisaidia Shirikisho hilo kwenye masuala mbalimbali ya kisheria kwa wachezaji.

Kwa mujibu wa taarifa iliyothibitishwa na Young Africans SC, imeeleza kuwa Wakili Simon ni Mtanzania pekee kwenye jopo la Wanasheria 21 kutoka sehemu mbalimbali duniani waliochaguliwa na Shirikisho hilo (FIFA) na atahudumu kwenye nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu.

SOMA NA HII  YANGA WAMCHUNGE SANA HUYU MWAMBA LIGI YA MABINGWA