Home Habari za michezo SHUGHULI NZIMA ITAKUEPO ANFIELD WIKIENDI HII KATI YA LIVERPOOL NA MAN UNITED…

SHUGHULI NZIMA ITAKUEPO ANFIELD WIKIENDI HII KATI YA LIVERPOOL NA MAN UNITED…

Meridianbet

Jumapili hii macho yote yatakua katika dimba la Anfield ambapo kutakua na mtanange mkali sana kati ya klabu ya Liverpool ambao watakua wenyeji wa mchezo wakiwakaribisha Manchester United. Mchezo ambao umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Mchezo wa leo unakwenda kupigwa huku timu hizo zikiwa kwenye hali tofauti ambapo mmoja anaonekana yupo kwenye kiwango bora, Huku mwingine hai ikiwa tete lakini hii haitaondoa ushindani katika mchezo huu.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Siku zote mchezo kati ya Manchester United na Liverpool hua unakua mchezo mgumu sana kwani vilabu hivyo vinaelezwa kama vilabu vyenye upinzani mkubwa zaidi katika ardhi ya Uingereza hivo bila kuzingatia fomu ya timu yeyote mchezo hua unakua mgumu.

Liverpool wanakwenda katika mchezo huu wakiwa vinara wa ligi kuu ya Uingereza wakiwa juu ya Arsenal na Manchester City, Hivo mchezo wa leo utakua muhimu wakitaka kuendelea kukaa kileleni lakini Man United nao watatka kufufuka katika mchezo baada ya kupoteza mchezo wa ligi uliomalizika.

Ikumbukwe kua Manchester United haijafanikiwa kushinda mchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza toka mwaka 2015 katika dimba la Anfield, Hivo hii inaendelea kutoa faida kwa wenyeji kuendelea kutawala au rekodi kuweza kuvunjwa vilevile.

Michezo mingine kadhaa leo Jumapili inatarajiwa kupigwa ambapo Arsenal watashuka dimbani wakiwa nyumbani pale Emirates kumenyana na Brighton, nchini Hispania Real Madrid watakipiga na Villarreal katika dimba la Santiago Bernabeu, Pale Italia Lazio watacheza na vinara wa ligi kuu ya Italia klabu ya Inter Milan, Bayern Leverkusen watashuka dimbani kumenyana na Eintracht Frankfurt na michezo yote hii imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet weka mkeka wako ujipigie mkwanja wa kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  KWA NINI ZIMBWE Jr NI 'MTI MKAVU' SIMBA....UKWELI WA MAMBO UKO HIVI...JAMAA HALI KUKU KABISA...