Home Habari za michezo SINGIDA FOUNTAIN GATE YAIONYESHA SIMBA JEURI YA PESA, YAIFANYIA KITU MBEYA KIKOSI...

SINGIDA FOUNTAIN GATE YAIONYESHA SIMBA JEURI YA PESA, YAIFANYIA KITU MBEYA KIKOSI CHA SIMBA

Golikipa wa Simba SC chaguo la Pili David Kakolanya kujiunga na Azam FC

Ushawishi wa pesa umeendelea kuwa kivutio kikubwa sana kwa klab hiyo yenye maskani yake Mkoani Singida,

Beno kakolanya alikuwa tayari kuongeza Mkataba ndani ya kikosi cha Simba, baada ya kupewa ofa ya klab ya Singida basi ilimlazimu Mkataba Mpya aliopewa na Simba SC kuuweka ndani ya begi na kuuzingatia zaidi wa Singida.

Simba Sc walimtengea Tsh Milioni 45, ikapanda hadi 50 na Mshahara wa Milioni 5, huku Singida wakimpa Tsh Milioni 100 na Mshahara wa Tsh.Milioni 6 kwa Mwezi, kwa miaka miwili,

Sasa tayari hawa wametoka Simba na kutua Singida FG,

Beno kakolanya

Joash Onyango

Huku Yahaya Mbegu usajili wake ukizuiliwa na Matajiri hao wa Alizeti kwa ushawishi wa ofa nzuri zaidi ya ile ya Simba SC na Julai 8 ametambulishwa Singida.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA CAF KESHO KUTWA...MWAMNYETO AIWEKA YANGA KWENYE 'ENGO' NGUMU...