Habari za michezo

YANGA WATAMBA KUNYAKUA UBINGWA WA AFRIKA ISHU IKO HIVI

Staff Desk August 8, 2023 12:19 pm

Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, wa Yanga SC, CPA Haji Mfikirwa, wakati wa uzinduzi wa Documentary inayohusu mafanikio ya klabu hiyo kwa msimu wa 2022/23 amesema kuwa imani yake kuwa klabu hiyo itachukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwa miaka ya hivi Karibuni.

Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, wa Yanga SC, CPA Haji Mfikirwa, wakati wa uzinduzi wa Documentary inayohusu mafanikio ya klabu hiyo kwa msimu wa 2022/23 amesema kuwa imani yake kuwa klabu hiyo itachukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwa miaka ya hivi Karibuni. “Hii klabu kama sio mwaka huu basi miaka mitatu ijayo lazima tuchukue Kombe la Afrika,” CPA Mfikirwa.

KLABU YA SIMBA YAONDOLEWA KATIKA MASHINDANO YA LIGI KUU, ISHU IKO HIVI HII HAPA ORODHA YA MASTAA WAKUBWA DUNIANI WANAOPIGA MPUNGA KWENYE KUBET…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply