Habari za Simba SC
Habari za michezo

SIMBA MAJANGA, INONGA NAE ASEPA ISHU IKO HIVI

Staff Desk August 21, 2023 6:26 pm

Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya kuumia bega katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida FG kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga hivi karibuni.

Beki wa Simba,Henock Inonga amerudi kwao DR Congo baada ya kuumia bega katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida FG kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga hivi karibuni. Inonga atakaa mda wa wiki mbili huku akijitibu jeraha lake la bega na uongozi umempa mapumziko kwa kipindi chote hicho.

JUNGLE SPIN NI SLOT MPYA YENYE MAOKOTO YA KUTOSHA KUTOKA MERIDIANBET….ISHI NAYO… SHINDA MPAKA MARA 20 YA DAU LAKO KUPITIA SLOT YA KIJANJA YA WOLF LAND HOLD…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply