Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana amekamilisha usajili wake ndani ya klabu ya Gor Mahia ya Kenya.
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga Patrick Sibomana amekamilisha usajili wake ndani ya klabu ya Gor Mahia ya Kenya. Sibomana amewahi kutumika katika vilabu mbalimbali Barani Afrika ikiwemo Young Africans ya Dar Es Salaam.