Home Habari za michezo ANZA KULAMBA BINGO ZA MAMILIONI YA EPL LEO ….MERIDIANBET WANAKUPA ODDS ZA...

ANZA KULAMBA BINGO ZA MAMILIONI YA EPL LEO ….MERIDIANBET WANAKUPA ODDS ZA KUSHIBA…

Meridianbet

Hayawi hayawi sasa yamekuwa , baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye msimu mpya wa soka barani ulaya umerejea na ukiwa na Meridianbet una nafasi kubwa ya kupiga maokoto kibao kwani Meridianbet wana kila kitu ambacho unakitaka wewe. Unasubiri nini ingia www. Meridianbet.co.tz.

Na leo hii pale EPL mechi zipo kibao ambazo zinaweza kukupatia mkwanja wa maana kabisa huku mechi ya mapema itakuwa ni kati ya Arsenal ambaye atakuwa nyumbani dhidi ya Nottingham Forest . The Gunners amepewa ODDS ya 1.18 huku mgeni akiwa na 13.72. Nani kuondoka na ushindi? Bashiri sasa mechi hii.

Mechi nyingine kali pale Uingereza itakuwa ni kati ya vijana wa Eddie Howe Newcastle dhidi ya Aston Villa huku mechi ya mwisho kuonana mwenyeji alipoteza mechi hiyo akiwa ugenini. Leo yupo nyumbani. Je anaweza kulipiza kisasi?

Huku ukiendelea kubfanya ubashiri wa mechi kumbuka kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

ODDS KUBWA machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu kinapatikana Meridianbet ingia sasa na ufanye ubashiri wako uweze kutimiza ndoto zako za kuwa bingwa. Pia kuna michezo ya kasino ya mtandaoni ambayo inatolewa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.

Jumapili itakuwa ya kibabe sana ambapo pale Stamford Bridge kutawaka moto huku Chelsea akimkaribisha Liverpool ya Klopp. The Blues wana kocha mpya Pochettino na timu zote zimefanya usajili mkubwa. ODDS ya ushindi amepewa Jogoo akiwa na 2.40, na mwenyeji ana 2.79. Beti yako unaipeleka wapi?

Pale LALIGA sasa nayo itaanza kutimua vumbi leo ambapo hapo kesho mabingwa watetezi Barcelona watakluwa ugenini kukiwasha dhidi ya Getafe huku wakihitaji pointi 3 muhimu waweze kuanza msimu vizuri. Wakati wapinzani wao wakubwa Real Madrid wao watcheza dhidi ya Athletic Bilbao. Ancelloti na vijana wake wana ODDS ya 2.16 kwa 3.23, beti yako unaipeleka kwa nani?

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mechi nyingine ya kusisimua pale Hispania itakuwa ni kati ya Villarreal dhidi ya Real Betis na mechi mbili za msimu uliopita, Betis aliondoka na pointi 4. Je Nyambizi wa Njano atakubali na msimu huu kupoteza pointi hizo au atapindua meza?

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Tukitoka hapo tunaenda moja kwa moja mpaka kule LIGUE 1, na Mabingwa watetezi wa ligi hiyo PSG watakuwa pale Parc des Princes kumenyana dhidi ya Lorient. Paris wana kocha mpya ambaye ni Luis Enrique. Je mabingwa hawa ambao hawana Messi na Mbappe wataanzaje?

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA

SOMA NA HII  KUELEKEA DABI YA KARIAKOO MASTAA HAWA SIMBA SASA NI MTEGO