Home Habari za michezo IFANYE POCHI YAKO KUWA NONO MSIMU HUU WA SOKA NA M-BET…

IFANYE POCHI YAKO KUWA NONO MSIMU HUU WA SOKA NA M-BET…

M-Bet

Leo ni siku ya kusisimua kwa wapenzi wa soka duniani kote, muda wa kuokoteza maokoto ya maana M-Bet umewadia! kwani msimu mpya wa ligi za soka 2023/2024 unaanza. EPL, Ligue 1, Bundesliga, La Liga, Saudia Arabia Pro League zote ndani!

Tunaanza na Ligi Kuu ya England (EPL) ambapo leo, Manchester City itachuana na Burnley, umemisi magoli ya Haaland? Say no more, na mwishoni mwa juma, tunatarajia mechi kati ya Arsenal na Nottingham Forest itatoa burudani kwa mashabiki wa soka. Fursa ya kupiga mtonyo na mechi hizi iko M-Bet kwani ODDS zake ni bomba msimu huu!

Hapa hapa kwa Mama samia, kwani ligi yetu ya nyumbani, Ligi Kuu Bara, inaanza kwa kishindo! Mahasimu wa jadi, Yanga na Simba, watavaana Tanga katika mechi ya Ngao ya Jamii jumapili hii, ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi. Hii ni habari njema kwa wapenzi wa soka nchini, na tunatarajia vita vikali uwanjani.

Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet Tanzania, Allen Mushi, alieleza, “Tunaamini katika kuleta furaha na fursa kwa wateja wetu. Tumeweka kipaumbele cha kwanza kwa wateja katika kutoa huduma zetu, kutoka Bet Bila Bando hadi kwa zawadi kubwa za Jackpot bila kusahau hii *149*19# itakua bure kwa mtandao wa AirTel kwasasa. Tunawakaribisha wapenzi wa soka na wachezaji wa michezo ya kubashiri kujumuika nasi katika msimu huu wa kusisimua.”

Msimu huu, M-Bet imeandaa fursa za kipekee kwa wateja wake. Kwanza kabisa, wameanzisha matumizi ya bure ya huduma ya USSD kwa wateja wa Airtel, na bila kusahau ukipakua App ya M-Bet unaweza “Bet Bila Bando”. Hii inamaanisha kuwa unaweza kufanya ubashiri bila kutumia data ya intaneti. Hii ni habari njema hasa kwa wale ambao wanataka kushiriki bila wasiwasi wa gharama ya data.

Lakini kuna zaidi! Jackpot ya Perfect12 ya M-Bet imepata ukubwa wa kipekee msimu huu, na maokoto yanayosubiri washindi ni kubwa na kusisimua. Kwa hivyo, fursa ya kujishindia zawadi nono sasa ni kubwa zaidi kuliko hapo awali.

Kadhalika, fursa ya kucheza na kutusua mipunga ya maana M-Bet Casino inaleta burudani ya kipekee. Hapa, unaweza kujishindia zawadi na furaha isiyoisha kwa kucheza michezo ya kasino mtandaoni. Hii ni nafasi nyingine ya kubashiri na kushinda kwa wateja wa M-Bet.

Kwa hivyo, msimu mpya wa soka unakuja na fursa za kipekee kutoka M-Bet. Wapenzi wa soka wanakaribishwa kushiriki katika kubashiri na kujishindia zawadi kubwa. Kuna fursa nyingi za kusisimua na zawadi tele katika msimu huu wa michezo ya kubashiri na kasino.

Cha kufanya! Weka dau lako sasa na ucheze na M-Bet! Fursa nzuri za kushinda mipunga inakusubiri!

 Tembelea tovuti yetu www.m-bet.co.tz au pakua App ya M-Bet sasa ambayo unaweza cheza bila bando! Na kama hiyo haitoshi! Bonyeza namba hii kwenye simu yako *149*19# na kama unatumia mtandao wa  AirTel ni bure kabisa.

 Kubwa kuliko sio lazima kujiunga/kujisajili, unaweza  kucheza! Cheza kama mgeni

Si ruhusa kwa wenye umri chini ya miaka 18. Vigezo na masharti kuzingatiw

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI NA WASAUZI...'TSHABALALA' AFUNGUKA WATAKAPOTOA NGUVU ZA USHINDI...