Home Azam FC BANGALA SASA KUKIPIGA DHIDI YA YANGA AGOUST 9, CHEKI AKIJIFUA KAMBINI NA...

BANGALA SASA KUKIPIGA DHIDI YA YANGA AGOUST 9, CHEKI AKIJIFUA KAMBINI NA AZAM

KIUNGO wa Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Yanick Litombo Bangala Jana ameanza mazoezi katika klabi yake mpya, Azam FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam baada ya kusajiliwa kutoka Yanga.

ameanza majukumu yake Mapya baada ya kujiunga nao Kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Klabu ya Yanga.

Azam wanajiandaa na mchezo wa mtoano wa Ngao ya Jamii utakapigwa Agosti 9 Jijini Tanga.

SOMA NA HII  RAIS SAMIA AIUNGA MKONO TAIFA STARS KWA STAILI HII