Home Burudani ALIKIBA ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA KUHAMIA SIMBA, ASEMA HAYA KUHUSU YANGA

ALIKIBA ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA KUHAMIA SIMBA, ASEMA HAYA KUHUSU YANGA

alikiba

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amejiunga rasmi kuwa shabiki wa klabu ya Simba na kukabidhiwa kadi na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Imani Kajula usiku huu jijini Dar es Salaam.

Kiba pia ametangazwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika kilele cha tamasha hilo Jumapili, Agosti 6 katika Uwanja wa Mkapa.

Pia Kiba ametambulisha wimbo wa Simba Mnyama ambao unaendana na kauli mbiu ya Tamasha hilo kwa mwaka huu ya ‘Unyama Mwingi’.

Kiba alikuwa shabiki wa Yanga.

 

SOMA NA HII  SIMBA WAZIDI KULAMBA MADILI YA UTALII....SAFARI HII NI ZAMU YA ZNZ....