Home Uncategorized KICHUYA, FEI TOTO WATOA TAMKO ZITO JUU YA USIMBA NA UYANGA –...

KICHUYA, FEI TOTO WATOA TAMKO ZITO JUU YA USIMBA NA UYANGA – VIDEO


Mshambuliaji na Kiungo wa Team Kiba Shiza Kichuya na Feisal Salum wamefunguka kuwa kwa kikosi chao kilivyo lazima wawafunge timu Samatta kutokana na ni timu nzuri na ina wachezaji wazuri na vijana.

Kampeni ya Nifuate ni msimu wake wa pili kwa sasa ambapo maboresho yatakua makubwa hivyo Samatta na Ali kiba wamewataka mashabiki kujaa kwa wingi uwanjani.

SOMA NA HII  MASTAA WATAKAO IUA AL AHLY WAWEKWA WAZI SIMBA