Home Habari za michezo BREAKING NEWS : KOCHA WA YANGA AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS : KOCHA WA YANGA AFARIKI DUNIA

Kocha wa zamani wa Yanga,raia wa Uganda Sam Timbe amefariki dunia mchana wa leo baada ya kuugua ghafla na mauti yakamfika wakati anapelekwa hospitali.

Mpaka mauti yanamfika,Timbe alikuwa kocha wa URA na jana alikiongoza kikosi kufanya mazoezi kabla ya leo kufariki dunia.

Sam Timbe Maarufu kama kocha wa mataji,alipita Yanga na kushinda ubingwa Kagame na ubingwa wa Ligi kuu msimu wa 2010 / 2011 kisha akatimuliwa.

Tanzaniaweb tutakuletea taarifa kwa kina kuhusiana na tukio hilo.

SOMA NA HII  UONGOZI WAWATULIZA WANASIMBA, MRATIBU ATOA KAULI HII