Home Habari za michezo BAADA YA MAYELE KUSEPA ZAKE YANGA….MZIZE NAYE ATAKA KULIANZISHA…

BAADA YA MAYELE KUSEPA ZAKE YANGA….MZIZE NAYE ATAKA KULIANZISHA…

Habari za Yanga SC

Mshambuliaji chipukizi wa klabu ya Yanga Waridi mzize amesema anataka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania bara.

Pengine huu unaweza kuwa wakati wa Mzize kupata nafasi hasa baada ya kuondoka Mshambuliaji hatari Fiston Mayele.

Akizungumzia dhamira yake Mzize anasema;

“siku zote mshambuliaji hapimwi kwa jambo lolote lile uwanjani zaidi ya kufunga, mshambuliaji akifunga ndio unakuwa umetimiza jukumu lako la msingi uwanjani, binafsi nataka msimu ujao niwepo kwenye orodha ya wafungaji hayo ndio malengo yangu ambayo nina deni kubwa kuyatimiza maana mshambuliaji anapimwa kwa kufunga na mimi nataka kufunga”

SOMA NA HII  YULE MIQUISSONE MNAE MTAKA ANAKUJA.... KOCHA AWEKA WAZI KILA KITU