Home Habari za michezo HII SIMBA INABALAA ZITO LIGI KUU MSIMU HUU

HII SIMBA INABALAA ZITO LIGI KUU MSIMU HUU

Tetesi za Usajili Simba

Ni mchezaji mmoja tu aliyeasisti mara mara mbili ambaye ni beki mpya wa Azam, Cheikh Sidibe aliyefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Kitayosce, huku akifuatiwa na utitiri wa wachezaji wenye asisti moja moja akiwamo Maxi Nzengeli wa Yanga ambao ameanza kuwa gumzo katika ligi.

Ni mchezaji mmoja tu aliyeasisti mara mara mbili ambaye ni beki mpya wa Azam, Cheikh Sidibe aliyefanya hivyo kwenye mechi dhidi ya Kitayosce, huku akifuatiwa na utitiri wa wachezaji wenye asisti moja moja akiwamo Maxi Nzengeli wa Yanga ambao ameanza kuwa gumzo katika ligi. Lakini kama hujui ni Simba pekee ndio timu iliyoshinda mechi zake mbili kwa asilimia zote kwa zile zilizocheza raundi mbilimbili, kwani Mashujaa na Geita Gold kila moja imeshinda moja na kutoka sare moja, huku Ihefu imeshinda moja na kupoteza moja sawa na Dodoma Jiji huku, timu nyingine zilizocheza mechi mbili kwa kupoteza moja na kutoka sare moja kama KMC, Namungo, Coastal Union na Mtibwa Sugar.

SOMA NA HII  BAADA YA KULIA LIA SAAANA...NABI AFUNGA MJADALA KUHUSU MAKAMBO KUTOCHEZA YANGA...