Home Habari za michezo KWA HILI YANGA HII IMESHAKUWA BALAA

KWA HILI YANGA HII IMESHAKUWA BALAA

Habari za Yanga SC

Yanga juzi walicheza mchezo wao wa pili Ligi Kuu Bara wakifanikiwa kichapa JKT Tanzania mabao 5-0.

Kwa idadi hiyo kubwa ya magoli 5 unaweza kufikiri kwamba JKT Tanzania walikuwa dhaifu hapana.

JKT Tanzania walikuwa bora katika mchezo wa juzi kuanzia dakika ya kwanza, makosa yao machache waliyoyafanya katika mchezo yakawaponza

Matokeo haya yanatoa picha halisi ya uimara wa Timu ya Miguel Gamondi ambae ameonekana kuiboresha timu hiyo kila kukicha.

Hivyo ni tahadhari kwa wale wanaotaka kuifunga Yanga msimu huu wanapaswa kufanya kazi ya ziada.

Nyota wengi wageni wameleta kitu kipya, huku wale waliokuwepo wakijitahidi kuboresha viwango vyao.Kwa mfano Stephen Aziz Ki, Ibrahim Bacca na wengine wengi.

SOMA NA HII  BEKI HOROYA ASHANGAZWA NA CHAMA..."ALISABABISHA HATARI NYINGI...ANA UTULIVU WA AJABU HAKABIKI