Home Azam FC MAYELE ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA AZAM KUPOKEA KIPIGO DHIDI YA YANGA

MAYELE ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA AZAM KUPOKEA KIPIGO DHIDI YA YANGA

Habari za Michezo

Aliekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Pyramids FC ya nchini Misri amewapiga kijembe Azam baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Yanga jana Agosti 9 Uwanja wa Mkwakwani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Mayele ameposti Picha akiwa GYym anafanya mazoezi na kuandika;

“hakuna kupowa sio Kama wale ukwaju”

SOMA NA HII  EBWANAEEH...SIMBA HII TAMU JAMENI...SAKHO AFUNIKA MBAYA..NABI AGUNA KIMTINDO...

1 COMMENT