Home Uncategorized HIZI HAPA 10 KUFUNGULIA LEO VPL

HIZI HAPA 10 KUFUNGULIA LEO VPL


LEO Vodacom Premier League inarejea mabapo timu kumi zitashuka uwanjani kuanza kutupa kete zao za kwanza msimu mpya wa mwaka 2019/20

Namungo v Ndanda FC uwanja wa Majaliwa

Mbao v Alliance uwanja wa CCM Kirumba

Mbeya City v Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine

Polisi Tanzania v Coastal Union, Uwanja wa Ushirika

Biashara United v Kagera Sugar, Uwanja wa Karume, Musoma.

SOMA NA HII  MWINYI ZAHERA AMALIZANA NA GWAMBINA KUANZA NA NYOTA HAWA KUTOKA YANGA