Home Habari za michezo MERIDIAN BET INAKUREJEAHEA 15% UKICHEZA VIRTUAL

MERIDIAN BET INAKUREJEAHEA 15% UKICHEZA VIRTUAL

Wewe ni mtu unayependa kucheza michezo ya Virtual? Na je kama hujawahi kucheza unataka kucheza. Basi Meridianbet inakurejeshea 15% ukicheza michezo ya Virtual ambayo inatolewa kupitia www.meridianbet.co.tz.

 

Michezo ya Virtual inapatikana Meridianbet ambayo msimu huu kampuni hiyo imekuja na ofa ya kukurejeshea asilimia 15 ambayo utakuwa umepoteza baada ya kucheza michezo hiyo inayopatikana kwenye ukurasa wao. 

Ili kupata hiyo ofa ya 15% unatakiwa kucheza michezo ya Virtual siku ya Alhamis, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ambapo sasa hasra ambayo utakuwa umeipoteza utaipata siku ya Jumatatu.

 Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.

Masharti ya Mchezo wa Virtual

    • Promosheni hii imeanza siku ya Alhamisi tarehe 03 na itaisha hapo kesho tarehe 06 saa 6 usiku hivyo mteja wa Meridianbet kama bado hujaanza kucheza michezo ya Virtual muda ndio sasa.

    • Promosheni hii itahusisha michezo ya Virtual tuu na sio mingine. Kwahiyo ukishaingia pale Meridianbet chagua michezo ya Virtual na ucheze sasa.

    • Na wale ambao watakuwa ni washindi watapata bonasi zao siku ya Jumatatu saa 05 asubuhi. Ingia sasa www.meridianbet.co.tz na ucheze Virtual.

    • Promosheni hii ni kwa wachezaji wote waliojisajili kwenye tovuti na APP ya Meridianbet.co.tz.

    • Kwa kujisajili na Meridianbet.co.tz, kila mchezaji atakubaliana na sheria za promosheni.

    • Ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja, anuani ya IP au kaya.

    • Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za promosheni hii wakati wowote pamoja na kusitisha promosheni hii.

 

 

PIGA MKWANJA NA VIRTUAL

Unajua ukiw ana Meridianbet kuondoka na mkwanja mrefu ni jambo la kawaida sana hasa pale unapocheza michezo mbalimbali kama vile kasino na mechi za kawaida kutoka Ligi zote barani Ulaya zinapatikana Meridianbet.

Baada ya kusoma vigezo na masharti sasa ni wakati wa kukusanya maokoto, weka pesa kwenye akaunti yao ya Meridianbet halafu kucheza ni rahisi tuu kwani utacheza kile ambacho unakipenda.

Baada ya kuweka pesa au dau unalotaka kucheza, ingia kwenye Virtuals na utakutana na michezo kibao kama vile mpira wa miguu, mpira wa kikapu, tenisi, kukimbia na farasi, michezo ya kasino, mbio za magari na mingine kibao. 

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Kwahiyo ukishacheza kati ya hiyo michezo hapo, kama utapoteza, basi Meridianbet wanakwambia usiwaze kabisa watakurejeshea 15% ya ile pesa yako ambayo utakuwa umeweka hivyo unaweza kuitumia tena kucheza mchezo mwingine ambao unapatikana kwenye Virtual na ukapiga mkwanja.

 

Pia kumbuka kuwa kama ukiwa umeshinda Meridianbet wanakuhaikishia kuwa siku ya Jumatatu saa 5 asubuhi watakuwekea bonasi ambayo nayo pia utaitumia kuchezea michezo mingine uipendayo ndani ya Meridianbet. Kazi ni kwako wewe mteja wa Meridianbet. Muda ndio huu ingia www.meridianbet.co.tz.

 

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

SOMA NA HII  BLAZING HEAT KASINO YA MATUNDA