Home Habari za michezo ROBERTINHO ALALAMIKA HUKU AKIWAPA ONYO YANGA!!! NOMA KWELI

ROBERTINHO ALALAMIKA HUKU AKIWAPA ONYO YANGA!!! NOMA KWELI

Habari za Simba SC

Baada ya jana kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Big Stars kwa ushindi wa penati 4-2.

Kocha wa Simba Mbrazil Roberto Oliviera “Robertinho” amesema Changamoto ya Uwanja wa Mkwakwani ndio iliyosababisha washindwe kupata ushindi mapema dhidi ya Singida.

Akizungumza Robertinho amesema;

“Simba inacheza ‘Samba’, tumeshindwa kucheza ‘Samba’ tumepata tabu kidogo kutokana na eneo la kuchezea halikuwa zuri, sio sawa na kule Dar es salaam.”

“Kwenye hiyo mechi ya fainali dhidi ya Yanga (Jumapili) ‘Samba’ itapatikana, tutaingia kwa nidhamu na Simba ni timu kubwa malengo yetu ni kushinda mataji msimu huu.”

SOMA NA HII  KUMBE AHMED LLY ALIKURUPUKA KUHUSU JEZI YA MKUDE.... MAMBO YAPO HIVI JEMEDARI AFUNGUKA KILA KITU