Home Habari za michezo VIGOGO HAWA SIMBA, YANGA BADO SANA

VIGOGO HAWA SIMBA, YANGA BADO SANA

Habari za michezo

Wakati wachezaji wa kigeni wa Azam FC wakionesha uwezo mkubwa wanapokutana na vigogo Simba na Yanga huku mara kadhaa wadau wakivitaka Simba na Yanga kuwabeba wachezaji hao ili kujiimarisha zaidi kwa kuwa tayari wanayajua mazingira ya Tanzania.

Taarifa ikufukie kuwa ni ngumu kwa wachezaji hao kutua Simba ama Yanga kutokana na kufanya vibaya kwa Azam FC Kimataifa.

Mpaka watakapothibitisha ubora wao katika ngazi ya Kimataifa, la sivyo Simba na Yanga watawaendea hawa hawa wazawa kina Chilunda, Sure, Muda, Kapombe, Nyoni, Manula na Bocco. Hawa wakigeni wa Azam tutawasifu lakini tutachelewa sana kuwaona Kariakoo.

Tangu hapo wanachukua hela nyingi kutoka kwa Bakhresa bora ukachukue mgeni ambae Dola 1000 ndio mshahara mkubwa zaidi anaoujua…

SOMA NA HII  SIMBA WATAMBA KUTANGAZA UBINGWA KABLA YA MECHI TANO, VIGOGO WATEMA CHECHE