Home Habari za michezo YANGA WATAMBA KUNYAKUA UBINGWA WA AFRIKA ISHU IKO HIVI

YANGA WATAMBA KUNYAKUA UBINGWA WA AFRIKA ISHU IKO HIVI

Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, wa Yanga SC, CPA Haji Mfikirwa, wakati wa uzinduzi wa Documentary inayohusu mafanikio ya klabu hiyo kwa msimu wa 2022/23 amesema kuwa imani yake kuwa klabu hiyo itachukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwa miaka ya hivi Karibuni.

Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, wa Yanga SC, CPA Haji Mfikirwa, wakati wa uzinduzi wa Documentary inayohusu mafanikio ya klabu hiyo kwa msimu wa 2022/23 amesema kuwa imani yake kuwa klabu hiyo itachukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwa miaka ya hivi Karibuni. “Hii klabu kama sio mwaka huu basi miaka mitatu ijayo lazima tuchukue Kombe la Afrika,” CPA Mfikirwa.

SOMA NA HII  YANGA KUSHIRIKI LIGI HII YA WAFALME KWA MBELEKO...TFF YAHUSIKA...ISHU NZIMA A-Z IKO HIVI