Home Habari za michezo MANYAUNYAU AFICHUA SIRI YA SIMBA KUMFUNGA YANGA

MANYAUNYAU AFICHUA SIRI YA SIMBA KUMFUNGA YANGA

Habari za michezo

Mganga Manyau nyau amefunguka yeye ni shabiki wa Simba SC amesema timu yake msimu huu itabeba vikombe vyote sababu kwenye kamati ya ufundi kwa sasa kazi anafanya mwenyewe.

Ametoboa Siri katika mchezo wa fainali ya Ngao ya jamii dhidi ya Yanga SC kule Mkwakwani jijini Tanga Alituma Joka Kubwa anaitwa jabali ambaye alikuwa anapaisha magoli ya wachezaji wa Yanga na timu yake kufanikiwa kutwaa Ngao ya jamii.

Katika mchezo huo qa Fainali ya Ngao ya uliopigwa Agosti 13, 2023 ulinalizik dakika 90 kwa timu zote mbili kutoka sare ya bila kufungana ndipo wakalazimika kwenda kwenye changamoto ya mikwaju ya penati ambapo Simba ilishinda kwa penati 3-1.

SOMA NA HII  SIMBA, TP MAZEMBE WAPEWA ONYO SAUZI...... ISHU KAMILI IKO HIVI