Home Habari za michezo THE CRANE YA UGANDA YAKANUSHA TAARIFA YA YANGA KUHUSU BEKI WAO HUYU

THE CRANE YA UGANDA YAKANUSHA TAARIFA YA YANGA KUHUSU BEKI WAO HUYU

Habari za Yanga leo

Msemaji wa Shirikisho la Soka Uganda (FUFA) Joel Moses amekanusha taarifa iliyotolewa na klabu ya Yanga kuwa beki Giggy Gift Fred ameitwa timu ya taifa.

Moses amesema jina la beki huyo halipo katika Kikosi cha Uganda Cranes kilichoitwa na Kocha Milutin Seredojovic Micho.

Je, ina maana Yanga wameliongopea Taifa kwa Taarifa yao waliyotoa? Tupe maoni yako

SOMA NA HII  DAU LA USAJILI WA OKRAH NDANI YA SIMBA NI ZAIDI YA KUFURU...ILIBAKI KIDOGO TU YANGA WANGEPITA NAYE KIBABE...